🎵

Heri Taifa

Album: Israel Mbonyi Durasi: 14:21

Nikasikia sauti nyikani

Tengenezeni njiya yake

Nyosheni mapito yake

Sogeleeni kiti cha neema

Mpate utakaso

Oh what a blessing

Oh what a grace

Heri aoshae (afuae)

Kanzu yake ndani ya damu

Akiliamini neno alilo ambiwa nae

Atakua kama Mti kando ya maji

Majani yake huyo

Yatakua ma bichi daima

Heri walio na hilo agano

Wanaye Mungu Kama mwokozi wao

Watasitawi nyumbani mwake

Hao wataitwa wana wa upendo

Tutasitawi nyumbani mwake

Sisi, tutaitwa wana waupendo

Moyo wangu, Sifu mungu

Sifu mungu sifu mungu

Nuru ilikuangaziya We Uliye mpole

Utairithi inchi, Utafarijiwa

Nuru ilikuangaziya mwenye moyo safi Utabarikiwa, Utamuona mungu

Heri taifa ambalo Bwana ni mungu wao

Ni wana wa upendo

Aliyo wachagulia, kuwa urithi wake