🎵

Silali

Album: RICH MAVOKO Videos Durasi: 4:30

Mmh mmh aaah

Kwengine sitamani

Ile ahadi ulonipa moyoni

Nahisi ni shetani

Alie badili mawazo kichwani

Mmmh! Ona mapenzi ni mfano wa dimbwi

Nimezama ni vigumu kutoka

Mmmh! Ona nakesha ni kama bundi

Nikilala kuna kitu nakiota

Umenipa upofu ningali hai

Mboni zangu unaniumiza

Ukanipa donda ndugu

Moyoni mwangu maumivu yaliopitiliza

Umenipa upofu ningali hai

Mboni zangu unaniumiza

Ukanipa donda ndugu

Moyoni mwangu maumivu yaliopitiliza

Mbona silali

Kisa mawazo mwenzako sili

Ona watoto nyumbani

Wanauliza wapi mommy

Ona mbona mbona silali

Kisa mawazo mwenzako sili

Ona watoto nyumbani

Wanauliza wapi mommy

Ningekunywa pombe ili nipunguze mawazo

Lakini siwezi

Nahisi kama ndo nitazidisha mawazo

Na maumivu ya mapenzi

Mbona silali

Kisa mawazo mwenzako sili

Ona watoto nyumbani

Wanauliza wapi mommy

Ona mbona silali

Kisa mawazo mwenzako sili

Ona watoto nyumbani

Wanauliza wapi mommy

Oh oh oh eoh (oooooh)

Oh oh oh eoh (rudi nyumbani)

Oh oh oh eoh (rudi nyumbani)

Oh oh oh eoh (tuishi wawili)

Oh oh oh eoh (aah tujenge famili)

Oh oh oh eoh (ooh rudi nyumbani)

Oh oh oh eoh (ooh rudi nyumbani mamaa)

Oh oh oh eoh (oooooh)

Mizizi ya mapenzi moyoni

Umekata kwa kinywa chako

Huwezi kujua machoni

Kama nimemisi pendo lako

Ona macho yangu yalivonyauka

Kwakutazama penzi linalozamia

Mmmh nimechoka kulalama

Nahisi kama unanionea

Nyimbo za hisia na mawazo

Kichwani bado zinajitunga

Napo jiuliza nini chanzo

Naumia naona bora kuimba

Wanipa tabu ya kusafisha kaniniki

Wakati rangi inajulikana

Naninashindwa usingizi sipati

Nakosa raha usiku mpaka mchana

Mmh hey (hey)

Mbona silali

Kisa mawazo mwenzako sili

Ona watoto nyumbani

Wanauliza wapi mommy

Aah ona mbona silali (mbona silali)

Kisa mawazo mwenzako sili (ah mwenzako misili)

Ona watoto nyumbani (ah watoto nyumbani)

Wanauliza wapi mommy (uuuh uuh uuh)

Ningekunywa pombe ili nipunguze mawazo

Lakini siwezi

Nahisi kama ndo nitazidisha mawazo

Na maumivu ya mapenzi

Mbona silali (ooh mbona silali)

Kisa mawazo mwenzako sili (mwenzako misili)

Ona watoto nyumbani (aah watoto nyumbani)

Wanauliza wapi mommy (wapi mommy)

Mbona silali (mbona silali)

Aah kisa mwenzako mi sili

Aah ona watoto nyumbani

Wanauliza wapi mommy (ooh ooh ooh)

Oh oh oh eoh (oooooh)

Oh oh oh eoh (rudi nyumbani)

Oh oh oh eoh (rudi nyumbani)

Oh oh oh eoh (tuishi wawili)

Oh oh oh eoh (aah tujenge famili)

Oh oh oh eoh (ooh rudi nyumbani)

Oh oh oh eoh (ooh rudi nyumbani mamaa)

Oh oh oh eoh (oooooh)