🎵
[00:09.64]Vipeperushi vinasambaa
[00:12.30]Eti natafutwa
[00:15.53]Nimepotea wiki imekataa
[00:19.64]Ndugu wamechachamaa
[00:22.54]Wananitafuta
[00:25.35]Nimepotea mwezi umekata
[00:29.11]Kazini sionekani, yupo wapi huyu
[00:34.06]Simuni sipatikani, yupo wapi huyu
[00:38.68]Baba kaniulizia, yupo wapi huyu
[00:43.57]Mama aishi kulia, yupo wapi huyu mimi
[00:49.39]Nimezama katika kina kirefu
[00:54.07]Cha bahari ya mapenzi
[00:58.55]Nimezama katika kina kirefu
[01:03.78]Cha bahari ya mapenzi
[01:07.66]🎵
[01:15.64]Sio ya Andit Purre mwana Rajab mlomkuta Tanga
[01:20.83]Sijafanywa msukule msipate tabu kumaliza waganga
[01:25.73]Amenirudisha shule hesabu maumbo kupanga
[01:30.89]Penzi la wasasambule lenye protini, vitamin na wanga
[01:35.27]Aaaah! ladha yake, si sukari
[01:41.94]Ni vichenza na malimao
[01:46.07]Mechi zake, huwa hatari
[01:51.46]Ni chenga na mabao
[01:55.55]Kazini sionekani, yupo wapi huyu
[02:00.60]Simuni sipatikani, yupo wapi huyu
[02:05.26]Baba kaniulizia, yupo wapi huyu
[02:09.82]Mama aishi kulia, yupo wapi huyu mimi
[02:15.77]Nimezama katika kina kirefu
[02:20.34]Cha bahari ya mapenzi
[02:24.38]Msinitafute, nimezama (Msihangaike katika kina kirefu)
[02:29.51]Nipo salama, (Cha bahari ya mapenzi) salama, salama mimi
[02:34.76]🎵
[02:43.94]Nipo salama mimi, Nipo salama mimi
[02:48.52]Msinitafute, Nipo salama mimi
[02:52.36]🎵