🎵

Give Up

Album: Give Up Durasi: 2:55
[00:15.25]Nimeshagongwa na nyoka
[00:18.31]Ndo maana naogopa
[00:20.23]Hata nikiguswa na jani
[00:23.34]Huko nilipotoka
[00:27.06]Mwanzo nilishasota
[00:28.79]Kutafuta amani
[00:31.68]Wala sio kwamba
[00:35.70]Sikufikiriiii nakuwazaga
[00:40.99]Tena sio kwamba sikupendi
[00:46.26]Nakupendaga (aahh)
[00:50.54]Ila kwenye haya mambo
[00:52.29]Ya malavi davi
[00:54.99]Mwenzako nisha give up
[00:57.13]Oooh give up! Oooh give up!
[00:59.10]Na kwenye haya mambo
[01:01.26]Si ya kupendana
[01:03.69]Mwenzako nisha give up
[01:05.77]Oooh give up! Oooh give up!
[01:07.19]I think about money (eeehhhh)
[01:12.34]Ndo inanipa furaha
[01:16.50]Ukitaka tuelewane (eeeehhh)
[01:21.11]Labda uje na chapaaa (aahhh)
[01:25.29]Nakuangalia kwenye macho nakuvaa
[01:28.91]Nakuona ndani ya moyo wako
[01:30.52]Hauna furaha
[01:31.60]Hauna imani na mapenzi umejikataa
[01:33.13]Umemaliza kucha kwako kujikwaa jikwaa
[01:35.55]Huwezi niambie utabakia single
[01:36.90]You have no idea mi maji ya shingo
[01:39.62]Siko hapa Lindo sina hiyo mitindo
[01:41.92]Jackpot bingo penzi la kishindo
[01:43.95]Ushakutana na washenzi hawaeleweki
[01:46.42]Wacha nikupe mapenzi kudadadeki
[01:48.96]Wacha nikupe nafasi ya kujiona keki
[01:51.00]We malkia unahitaji kitu cha kuketi
[01:54.59]Furaha inatibika mambo yanabadilika
[01:57.25]Mi Mwenzako tika tika
[01:58.58]Niko misitu na nyika
[01:59.29]Niko kiangazi masika
[02:00.55]Nitapilika pilika na weee
[02:02.04]You need love baby girl
[02:04.44]Mapenzi ni dawa
[02:07.74]Ila kwenye haya mambo
[02:11.15]Ya malavi davi
[02:13.48]Mwenzako nisha give up
[02:15.44]Oooh give up! Oooh give up!
[02:17.42]Na kwenye haya mambo
[02:19.87]Si ya kupendana
[02:21.72]Mwenzako nisha give up
[02:24.12]Oooh give up! Oooh give up!
[02:26.44]I think about money (eeehhhh)
[02:30.26]Ndo inanipa furaha
[02:33.68]Ukitaka tuelewane (eeeehhh)
[02:39.00]Labda uje na chapaaa (aahhh)
[02:43.28]The Mix killer!