← Kembali
🎵

Haijakaa Sawa

Album: Haijakaa Sawa Durasi: 3:08
[00:11.16]Sasa unanuna nini?
[00:17.36]Au unadhani hata mimi napenda
[00:19.84]Nishazichoka na mimi
[00:22.22]Mboga za majani kila siku mlenda
[00:25.48]Siko juu siko chini
[00:27.01]Niko nusu sadoo
[00:29.23]Sio wa kumi si sabini
[00:31.75]Ngoma ngumu bado
[00:34.85]Kama ibada naswali sana
[00:37.51]Usiku wa manane
[00:39.26]Tena nafunga na Suna
[00:40.78]Mambo bado bado mwana wane
[00:44.44]Naona yanazidi kuguma
[00:46.16]Nikirudi na hasira hasira (nizoee)
[00:50.75]Mambo magumu bado bila bila (niombee)
[00:55.89]Nikirudi na hasira hasira (nizoee)
[01:00.82]Mambo magumu bado bila bila (niombee)
[01:06.07]Halijakaa sawa
[01:09.27]Nivumilie ipo siku tutapata
[01:11.16]Halijakaa sawa
[01:13.46]Shida na dhiki zitakwisha baby
[01:16.11]Halijakaa sawa
[01:18.68]Kuchana kope make up utapaka
[01:21.03]Halijakaa sawa
[01:23.31]Tutabadili mboga kuku kwa manyama
[01:34.87]Chochea kuni kipenzi changu
[01:36.45]Asubuhi tumbo likikuming'inya
[01:39.12]Pokea kidogo changu
[01:41.61]Tunywe chai na mkate wa kumimina
[01:44.25]Akili ikichoka riziki nikikosa
[01:46.21]Najua kwako nitajiliwaza
[01:49.17]Kama makosa nivute chumbani
[01:51.62]Kununa nuna unajilemaza
[01:53.96]Ustahimilivu mnao wachache mno
[01:58.88]Jua shida rafiki wa mbivu
[02:00.69]Baada ya dhiki mavuno
[02:02.78]Kila jema lina maumivu
[02:04.81]Na kwenye waliopo tumo
[02:07.73]Yarabi salama tupe tulivu
[02:09.92]Penzi lisifike kikomo
[02:12.21]Iyee eeh eeh
[02:15.59]Nikirudi na hasira hasira (nizoee)
[02:19.81]Mambo magumu bado bila bila (niombee)
[02:24.35]Nikirudi na hasira hasira (nizoee)
[02:29.56]Mambo magumu bado bila bila (niombee)
[02:34.55]Halijakaa sawa
[02:38.25]Nivumilie ipo siku tutapata
[02:40.19]Halijakaa sawa
[02:42.12]Shida na dhiki zitakwisha baby
[02:44.72]Halijakaa sawa
[02:47.13]Kuchana kope make up utapaka
[02:50.19]Halijakaa sawa
[02:52.23]Tutabadili mboga kuku kwa manyama
[02:56.50]🎵