🎵

Hakuna Noma

Album: Hakuna Noma Durasi: 2:39
[00:15.36](Kimambo...)
[00:16.65]Kama ukiniona nafurahi
[00:21.34]Jua ni Jah ka-bless
[00:23.50]Jua ni Jah ka-bless
[00:25.66]Na ukiniona najidai
[00:30.01]Jua ni Jah ka-bless
[00:32.07]Jua ni Jah ka-bless
[00:34.03]We here today
[00:35.58]Huko tulipo toka
[00:37.72]Tulishaga dondoka
[00:39.94]Asaivi tupo okay
[00:42.72]We here today
[00:44.41]Wala hatujawai choka
[00:46.46]Waliodhani tutasota
[00:48.76]Saivi ndo hawana say
[00:51.65]Hakuna noma
[00:54.11]No kisirani
[00:56.07]Mwendo wa burudani yeah, yeah, yeah
[01:00.52]Ushanisoma
[01:02.29]Kama kucheza uwanjani
[01:04.83]Unamuogopa nani yeah, yeah, yeah
[01:08.83]Wacha waongee
[01:11.67]Si tunalindwa na baba eh ayeah ayeah
[01:17.09]Acha tusherekee
[01:20.80]Stress mawazo badae ayeah ayeah
[01:27.41](Leo ni party after party)
[01:31.72](Leo ni party after party)
[01:36.12]Binadamu hawakosi cha kusema
[01:38.40]Hata ukiwafanyia jema
[01:40.79]Bado watakukosea tena
[01:44.66]Na Mungu baba kanipangalia mema
[01:47.26]Kanipa pumzi na neema
[01:49.64]Nami naiona nyota njema
[01:52.71]Hakuna noma
[01:55.27]No kisirani
[01:57.01]Mwendo wa burudani yeah, yeah, yeah
[02:01.52]Ushanisoma
[02:03.34]Kama kucheza uwanjani
[02:05.74]Unamuogopa nani yeah, yeah, yeah
[02:09.91]Wacha waongee
[02:12.95]Si tunalindwa na baba eh ayeah ayeah
[02:18.08]Acha tusherekee
[02:21.83]Stress mawazo badae ayeah ayeah
[02:29.17]🎵