🎵

Hodari

Album: Hodari Durasi: 4:01
[00:01.13]Lalala lalala la la la
[00:06.75]Lala la la la
[00:09.30]Shombe shombe
[00:10.61]Mtoto laini laini
[00:12.64]Anawaka waka
[00:17.81]Wanga wape vidonge
[00:19.94]Nimebaini baini
[00:21.92]Wana tapa tapa
[00:26.64]🎵
[00:29.57]Mi nawe mpaka kiama
[00:31.51]Tuombe uzima
[00:34.14]Waroge kwa kuchutama
[00:36.22]Na wasimame wima
[00:38.83]Kamwe hawatopata mwanya
[00:40.91]Habithi fitina
[00:43.34]Wapike mabilinganya
[00:45.48]Si tutoke dinner
[00:48.20]Nalegea
[00:50.28]Ukintazama yako macho
[00:53.48]Yako macho
[00:57.65]Nalegea
[00:59.64]Ikigusana yangu na yako
[01:02.69]Yangu na yako
[01:06.84]Katoto hodari
[01:08.91]Hodari wa mapenzi
[01:11.19]Jamani hodari
[01:13.55]Hodari wa mapenzi
[01:15.12]Kwa michezo ya chumbani, hodari
[01:18.33]Hodari wa mapenzi
[01:20.04]Mtundu kitandani, hodari
[01:23.28]Hodari wa mapenzi
[01:25.88]🎵
[01:35.84]Katoto nyakanga kamemzidi somo na kungwi
[01:40.18]Chumbani kiranga kinaishaga komo kirungi
[01:44.64]Nisakata makirikiri
[01:47.64]Kuniwasha ka pilipili
[01:49.69]Fundi haswa amekithiri
[01:51.99]Kunipa nilewe
[01:54.75]Kwasa kwasa ndani bingiri
[01:57.14]Za kukata saga kachiri
[01:59.41]Nani haswa unafikiri
[02:01.33]Kama si wewe
[02:03.56]Nichezeshe kidaruso usiku wa manane (vanga)
[02:08.15]Nikande kipanda uso tufunikane (kanga)
[02:12.75]Nipitishe boda la uko tukakutane (Tanga)
[02:17.41]Sie pini wao puto wasijichanganye watapasuka
[02:22.47]Nalegea
[02:24.20]Ukintazama yako macho
[02:27.79]Yako macho
[02:31.86]Nalegea
[02:33.98]Ikigusana yangu na yako
[02:37.57]Yangu na yako
[02:41.12]Katoto hodari
[02:43.42]Hodari wa mapenzi
[02:45.67]Jamani hodari
[02:47.96]Hodari wa mapenzi
[02:49.64]Kiueno kunengua, hodari
[02:52.76]Hodari wa mapenzi
[02:54.11]Bidu kujibidua, hodari
[02:57.26]Hodari wa mapenzi
[02:59.72]🎵
[03:08.68]Wema Sepetu hodari
[03:11.56]Hodari wa mapenzi
[03:13.85]Uwoya hodari
[03:15.83]Hodari wa mapenzi
[03:17.84]Mama Cookie hodari
[03:20.50]Hodari wa mapenzi
[03:22.38]Mama Dangote, hodari
[03:25.24]Hodari wa mapenzi
[03:27.39]Jack Wolper, hodari
[03:29.93]Hodari wa mapenzi
[03:31.88]Zari Mama Tiffah, hodari
[03:34.91]Hodari wa mapenzi
[03:36.66]Esma Khan, hodari
[03:39.95]Hodari wa mapenzi
[03:41.26]Elizabeth Michael, hodari
[03:44.52]Hodari wa mapenzi
[03:45.25]🎵