🎵
[00:03.65]Yow, yow
[00:06.84]Ooh na na na, mm
[00:10.11]Sometimes what you doing
[00:12.36]Can be deceiving
[00:14.91]Na huwezi kuvuna usichokipanda
[00:17.57]Thanks God for giving
[00:19.93]Ghetto sikua na umeme wala cable
[00:22.38]Ni jeans moja t-shirt na yebo
[00:24.91]Eti Leo namiliko lebo
[00:27.34](Lebo konde gang lebo)
[00:29.62]Sikuzote kisichokuua kitakufanya uwe ngangari
[00:34.51]Hata muwanga huwezi kumjua so uishi nao kwa tahadhari
[00:39.26]My sister siku hizi shepu wananunua we pambana upate salary
[00:44.16]Na usisahau pesa maua so ukikosa hata usijali
[00:49.05]One love
[00:50.11]Kwa wanangu wa kitaa nyie ndio mna nunua CD
[00:53.67]Two love
[00:55.12]Kwa wanafiki wa Insta mnafanya niongeze bidii
[00:58.99]Three love
[01:00.33]Kwa Masta na Rita mlinifanya hasira zizidi
[01:03.92]Four love
[01:05.17]Ya ngumu nilizopita, mkanipa na jina mkasema niitwe, Jeshi
[01:09.99]Konde boy Jeshi
[01:12.10]Tena sikuhizi wananiita Tembo
[01:14.11]Jeshi, hata we ni Jeshi
[01:16.82]Yani kama huna pigo za kirembo ni Jeshi
[01:19.93]Konde boy Jeshi
[01:21.90]Yani wanangu wananiita Temboo
[01:23.99]Jeshi (no no no no)
[01:25.96]Hata we ni Jeshi
[01:26.96]Yani kama huna pigo za kirembo ni Jeshi
[01:28.84]One love
[01:29.91]Kwa wanangu wa kitaa nyie ndio mna nunua CD
[01:33.27]Two love
[01:34.61]Kwa wanafiki kwa Insta mnafanya niongeze bidii
[01:37.72]Ninaamini Mungu yupo tena naongea nae japo sisikii sauti yake
[01:42.84]Nikianguka nitainuka tena so usishangae why tembo ana hustle peke yake
[01:48.04]'Cause I know
[01:49.31]Unapookota ndio wakati wa kutunza ili kesho kisije potea
[01:53.65]Na unaposota ndio wakati wa kujifunza ni wapi ulipokosea
[01:58.38]Sio kama siwezi kujibizana ila mwenzenu nimeumbwa na sub'ra
[02:03.03]Cheki madili yanavyogongana
[02:05.76]'Cause nyota yangu ni Libra
[02:07.85]Mbona siwaoni, waliotumwa kunitukana
[02:10.69]Vichwa vyao viko kibla
[02:13.22]Tena sikuhizi hata siimbi sana
[02:15.86]Acha washindane na Ibra
[02:17.98]I say one love
[02:19.35]Kwa wanangu wa kitaa nyie ndio mna nunua CD
[02:23.16]Two love
[02:24.10]Kwa wanafiki wa Insta mnafanya niongeze bidii
[02:28.07]Three love
[02:29.43]Kwa Masta na Rita, mlifanya hasira zizidi
[02:32.91]Four love
[02:34.17]Njia ngumu nilizopita mkanipa na jina mkasema niitwe
[02:37.85]Jeshi
[02:39.72]Konde boy Jeshi
[02:41.00]Tena siku hizi wananiita Tembo, Jeshi
[02:44.95]Hata we ni Jeshi
[02:45.91]Yani kama huna pigo za kirembo ni Jeshi
[02:49.87]Konde boy Jeshi
[02:51.01]Yani wanangu wananiita Tembo, Jeshi
[02:54.46]Hata we ni Jeshi
[02:55.88]Yani kama huna pigo za kirembo ni Jeshi
[02:58.19]One love
[02:59.17]Kwa wanangu wa kitaa nyie ndio mnanunua CD
[03:02.60]Two love
[03:03.93]Kwa wanafiki wa Insta mnafanya niongeze bidii
[03:06.71]Konde Boy
[03:08.21]🎵