Kenya Native Anthem Text - National Anthem
Kiswahili [Verse: 1) Ee Mungu nguvu yetu Ilete baraka kwetu Haki iwe ngao na mlinzi Natukae na udugu Amani na uhuru Raha tupate na ustawi. [Verse: 2) Amkeni ndugu zetu Tufanye sote bidii Nasi tujitoe kwa nguvu Nchi yetu ya Kenya Tunayoipenda Tuwe tayari kuilinda [Verse: 3) Natujenge taifa letu Ee, ndio wajibu wetu Kenya istahili heshima Tuungane mikono Pamoja kazini Kila siku tuwe na shukrani Sent by Carlos Andrй Pereira da Silva Branco
Artist: National Anthem
Title: Kenya Native Anthem Text