🎵

Kwetu

Album: Kwetu Durasi: 3:40
[00:25.87]Sifa kwa Mola wangu Maulana kwa mengi aliofanya
[00:30.26]Hadi mi na we kukutana, kisura
[00:33.97]Sijapanga kudanganya, ntasema ukweli mama
[00:38.26]Kisa nakupenda sana, kisura
[00:41.72]Umesema wanipenda ila maisha yangu maseke
[00:46.21]Michicha, milenda ndo menyu yangu, na ya kuku mateke
[00:50.15]Yaani chenga, kila siku kilio sa lini nicheke?
[00:54.24]Sina tenda, ugali Buguruni, mboga Temeke
[00:58.28]Nafurahi umeniridhia niwe na wewe kimwali
[01:02.45]Maisha yangu mitihani isoisha maswali
[01:06.19]Ukifika nyumbani vumilia maana hali sio swali
[01:10.23]Asubuhi mchana pakavu, jioni ndo kula futali
[01:14.18]Tena huku kwetu muda wowote mateja wanatinga
[01:18.53]Viwalo vyetu ukifua kumbuka kuvilinda
[01:22.48]Huku kwetu muda wowote mateja wanatinga
[01:26.45]Mwali wee, suala la nyumba na gari mimi
[01:30.33]Bado, mi bado, mi bado
[01:32.47]Ndo kwanza nimepanga
[01:34.07]Bado, iyee, mi bado
[01:36.35]Sina hata kiwanja
[01:37.86]Bado, iyee, mi bado
[01:40.26]Kulipa kodi majanga
[01:41.95]Bado, mimi bado, mi bado
[01:53.66]Mtaani kwetu hekaheka ukienda sokoni kariri vichochoro
[01:57.22]Ghetto namkeka tu hakuna kitanda, shuka wala godoro
[02:01.19]Hekaheka hakuna kibatari ndani giza totoro
[02:05.23]Mvua ikinyesha nyumba inageuka ka boti ya Comoro
[02:09.16]Ila nimeshakupa, nimeshakupa mtima mtima
[02:13.14]Ukija kususa, utanizika mzima mzima
[02:17.38]Nimeshakupa eh, nimeshakupa mtima mtima
[02:21.23]Ukija kususa ah, utanizika mzima mzima
[02:25.13]Tena huku kwetu muda wowote mateja wanatinga
[02:29.54]Viwalo vyetu ukifua kumbuka kuvilinda
[02:33.71]Huku kwetu muda wowote mateja wanatinga
[02:37.78]Mwali wee, suala la nyumba na gari mimi
[02:41.57]Bado, mi bado, mi bado
[02:43.63]Ndo kwanza nimepanga
[02:45.53]Bado, iyee, mi bado
[02:47.92]Sina hata kiwanja
[02:49.41]Bado, mie, mi bado
[02:51.69]Kulipa kodi majanga
[02:53.41]Bado, mimi bado, mi bado
[02:55.33]Suala la nyumba na gari mimi
[02:57.47]Bado, mi bado, mi bado
[02:58.65](Haki ya Mungu bado, yaani shuka bado)
[03:00.02]Ndo kwanza nimepanga
[03:02.02]Bado, iyee, mi bado
[03:03.48]Sina hata kiwanja
[03:05.29]Bado, iyee, mi bado
[03:07.50]Kulipa kodi majanga
[03:09.43]Bado, mimi bado, mi bado
[03:11.86]🎵