🎵
[00:00.05]Mpaka sasa tunavyojipemda hadi raha
[00:05.29]Mpaka sasa unavyonipenda hadi raha
[00:33.19]Mara tu ukinisogelea
[00:36.14]Ukinigusa ukinikumbatia
[00:38.56]Kwangu naona zawadi
[00:43.00]Story za mapenzi wakiniletea
[00:46.57]Mbona wazushi wanazingua
[00:49.78]Mbona sisi tuko good
[00:53.71]Hawajui unavyonipendelea
[00:57.27]Waninyonyesha huku nimekua
[00:59.80]Upendo umezidi
[01:04.65]Mpaka unikumbate ndo unaongea
[01:08.34]Nikiwa mbali baby hujazoea
[01:10.56]Au unafanya kusudi
[01:15.08]Kuna wao af kuna sisi
[01:17.47]Kuna wewe af kuna mimi
[01:20.04]Tulianza kama utani na
[01:21.77]Saivi tunaenjoy love
[01:25.17]Mchana kweupe hatujifichi
[01:28.08]Nipe nikupe yani mambo fiti
[01:30.43]Tulianza kama utani na
[01:32.33]Saivi tunaenjoy love
[01:36.38]Lala lala lalaa La lalalaaaa
[01:46.46]Lala lala lalaa La lalalaaaa
[01:55.22]Uyeeee Aaaaah
[01:59.27]Ooooh Aaaaaaaah
[02:08.02]Na ikiwa mapenzi sumu
[02:10.66]Basi we ndo utaniua
[02:13.60]Wanadamu wakitaka nihukumu
[02:15.78]Naomba simama kunitetea
[02:18.63]Maaana sio mwilini tu uuh
[02:21.36]Mpaka moyoni unanijua
[02:24.06]Uwezo wa mabody guard sina
[02:26.92]Mi mnyonge ntakulinda na dua eeeh
[02:30.39]Usoni moyoni nimejawa na furaha
[02:35.73]Na macho ila sioni wa kuninyima raha
[02:40.22]Mpaka sasa tunavyojipemda hadi raha
[02:45.27]Mpaka sasa unavyonipenda hadi raha
[02:50.32]Mpaka sasa tunavyojipemda hadi raha
[02:55.63]Mpaka sasa unavyonipenda hadi raha
[03:02.34]Lala lala lalaa La lalalaaaa
[03:05.53]Lala lala lalaa La lalalaaaa
[03:10.19]Nakupenda leo kesho mpaka kufa baby
[03:13.59]Lala lala lalaa La lalalaaaa
[03:33.09]Mmmh i love you
[03:35.96]Lala lala lalalo i love you Uuuh
[03:46.06]🎵