🎵

Limevuja

Album: Definition of Love Durasi: 3:28
[00:11.71]Oooh, oooh maya aah
[00:15.93](Nusder)
[00:18.57]Si umesema mi baniani mbaya
[00:20.95]Na uwepo wangu kwako sio dawa, haya aah
[00:26.92]Penzi nikashona tenzi na riwaya
[00:30.32]Kwenye moyo wako livae liwe sawa, limepwaya
[00:36.58]Napuliza majivu maana moto siuoni
[00:41.79]Kooni maumivu vumbi larudi machoni
[00:46.00]Ahadi za mbivu zimebaki ndotoni
[00:50.53]Lile penzi tulivu leo lipo kikaangoni
[00:55.76]Imeniponza huruma kirungi
[00:57.86]Kujitisha kumsaidia
[01:00.09]Kumbe katoboa mtungi
[01:02.42]Maji yananimwagikia
[01:04.98]Penzi limevuja tena
[01:09.29]Penzi limevuja tena
[01:13.96]Penzi limevuja tena
[01:18.94]Penzi limevuja tena aah
[01:22.66]🎵
[01:32.33]Ulisema sikiwambaza
[01:34.94]Penzi letu ukuta wa chuma
[01:37.07]Nikitoka kiwalaza
[01:39.75]Utanistiri nywele za nyuma
[01:41.59]Mara kwa mara ulilia
[01:43.78]Kifuani umenilalia
[01:46.03]Ukijuta unayachukia
[01:49.16]Yale ulopitia
[01:51.00]Eti kama mimi hujaona
[01:53.27]Wa kufanana naye
[01:55.78]Asa mbona hukusema
[01:58.11]Kama ushakutana naye
[02:00.17]Napuliza majivu maana moto siuoni
[02:04.60]Kooni maumivu vumbi larudi machoni
[02:08.75]Ahadi za mbivu zimebaki ndotoni
[02:14.04]Lile penzi tulivu leo lipo kikaangoni
[02:18.85]Imeniponza huruma kirungi
[02:21.17]Kujitisha kumsaidia
[02:23.37]Kumbe katoboa mtungi
[02:25.74]Maji yananimwagikia
[02:27.97]Penzi limevuja tena
[02:32.67]Penzi limevuja tena
[02:37.18]Penzi limevuja tena
[02:41.73]Penzi limevuja tena aah
[02:43.67]🎵