🎵

Nadekezwa

Album: Nadekezwa Durasi: 3:48
[00:20.63]Hohohoo hohoo hoho
[00:21.84]Hohohoo hohoo hoho
[00:24.05]Hohohoo hohoo hoho
[00:26.11]Hohohoo hohoo hoho
[00:30.16]Salamu ulizo nitumia ah
[00:32.98]Zimenifikia ah
[00:35.27]Nipo salama hata usijali
[00:38.29]Nalishwa vitamu
[00:40.78]Vinono najilia ah
[00:42.65]Biliyani yangamia
[00:44.88]Penzi twadalikana poo kidali
[00:46.94]Nimekusahau
[00:49.32]Nakumbuka tu lako jina
[00:52.02]Kidogo angalu
[00:54.29]Umengoa mizizi sio kukatashina
[00:57.37]Penzi wakapanda dau ah
[00:59.74]Mjini baba pesa fitina
[01:02.16]Mimi ukanidharau
[01:04.36]Visenti haba mfuko umechina
[01:07.24]Nando uwezo wangu ulipo ishia
[01:08.90]Ningekupa nini tena
[01:11.56]Kula yangu yakupapasia
[01:14.01](Hukumeza ukaatema)
[01:15.98]Mimi sina gali
[01:18.33]Ningekupa nini tena (ooohoohoo)
[01:22.88](Hukumeza ukaatema)
[01:25.41]Eeeheeehee
[01:26.94]Nadeke... nadekezwa
[01:29.32]Nadeke... nadekezwa
[01:31.61]Nadeke... nadekezwa
[01:33.66]Nadeke... nadekezwa
[01:35.96]Nadeke... nadekezwa
[01:38.65]Nadeke... nadekezwa
[01:40.21]Nadeke... nadekezwa
[01:43.47]Nadeke... Nadeke...
[01:46.89]🎵
[01:55.42]Ndanimashamu shama mtoto kanikabiri ooh
[01:58.19]Hadi na come come kuminambili arufajiri
[02:02.83]Na nishamvesha nyota cheo chake kikubwa cha mapenzi
[02:09.02]Kanijaza kanichota kanishika pabayaa
[02:12.77]Nakutadharisha simu zausiku punguza
[02:17.69]Unahatarisha penzi langu moto kuunguza
[02:22.60]Nishakusahau nakumbuka tuu lako jina
[02:27.61]Kidogo angaluu
[02:29.82]Umengoa mizizi sio kukatashina
[02:33.12]Penzi wakapanda dau anh
[02:34.90]Mjini baba pesa fitina
[02:37.69]Mimi ukanidharau
[02:39.56]Visenti haba mfuko umechina
[02:42.27]Nando uwezo wangu ulipo ishia
[02:44.24]Ningekupa nini tena
[02:47.51]Kula yangu yakupapasia {hukumweza ukaatema}
[02:51.47]Mimi sina gali
[02:53.51]Ningekupa nini tena (ooohoohoo)
[02:58.22]{Hukumweza ukaatema}eeeheeehee
[03:01.94]Nadeke... nadekezwa
[03:04.44]Nadeke... nadekezwa
[03:05.91]Nadeke... nadekezwa
[03:08.45]Nadeke... nadekezwa
[03:10.58]Nadeke... nadekezwa
[03:15.63]Nadeke... nadekezwa
[03:18.56]Nadeke... Nadeke...
[03:20.86]🎵
[03:52.25]Nadeke... nadekezwa
[03:52.49]Nadeke... nadekezwa
[03:52.62]Nadeke... nadekezwa
[03:52.86]Nadeke... nadekezwa
[03:53.07]Nadeke... nadekezwa
[03:53.25]Nadeke... Nadeke...
[03:53.42]🎵