🎵

Nipo Nae

Album: Definition of Love Durasi: 3:27
[00:04.72](Ayolizer)
[00:08.16]Masikini hana fuba, hana fuba
[00:12.57]Anazeeka yule mwezangu
[00:17.75]Haamini anavyochunda anachunda
[00:22.06]Nimeondoka na nyota yangu
[00:26.90]Nafsi ilichoka madhira (Ooh madhira)
[00:32.68]Ya pundazo na fadhila (Ooh fadhila)
[00:36.93]Nimempata wa njema dhamira (Ooh dhamira)
[00:41.30]Wa kufunga magoli si wa bila (Ooh wa bila)
[00:47.07]Mmmh shata shata (Shata)
[00:48.45]Penzi limetaradadi
[00:51.32]Sina shaka (Shaka)
[00:52.90]Inyeshe na ipige radi
[00:55.35]Rasha rasha (Rasha)
[00:57.31]Kwetu mambo maji maji
[01:00.57]Baby washa washa (Washa)
[01:02.21]Waambie wanaosubiria
[01:04.97]Bado nipo nipo nae
[01:07.28]Bado tupo sana tu (Bado nipo nipo nae)
[01:11.69]Ndo kuanza tunayaanza (Bado nipo nipo nae)
[01:15.67]Wenyewe tumeshazoeana (Bado nipo nipo nae)
[01:20.51]Mi bado nipo na yeye
[01:22.63]Naomba msitufuate
[01:24.41]Naomba msitufuate
[01:27.21]Naomba msitufuate
[01:29.48]Naomba msitufuate
[01:31.50]Raha, raha mustarehe
[01:34.85]Sijaomba napewa
[01:36.75]Nifikishwe nitosheke
[01:39.05]Raha kila siku sherehe
[01:43.65]Jamani nanyenyekewe
[01:46.48]Eti nile nikogeshwe
[01:48.62]Penzi birika, yake sifai ni kimiminio
[01:54.62]Ah nimeshikwa, kwenye kichwa mpaka masikio
[01:59.13]Mambo tartita, ulichosusa hakula mwenzio
[02:03.98]Mwana ana sifa, ananipa paja kwa kipapatio
[02:09.33]Amekupenda mama tulia tulia
[02:14.40]Tule zetu ni ujana, dunia dunia
[02:18.82]Mambo ya wanadama, puuzia puuzia
[02:23.43]Wapasuke bandama, sindano ishawaingia
[02:28.18]Mmmh shata shata (Shata)
[02:29.67]Penzi limetaradadi
[02:32.75]Sina shaka (Shaka)
[02:34.79]Inyeshe na ipige radi
[02:37.33]Rasha rasha (Rasha)
[02:39.47]Kwetu mambo maji maji
[02:41.86]Baby washa washa (Washa)
[02:43.85]Waambie wanaosubiria
[02:46.13]Bado nipo nipo nae
[02:48.85]Bado tupo sana tu (Bado nipo nipo nae)
[02:52.84]Ndo kuanza tunayaanza (Bado nipo nipo nae)
[02:57.40]Wenyewe tumeshazoeana (Bado nipo nipo nae)
[03:02.26]Mi bado nipo na yeye
[03:04.96]🎵
[03:21.17](Wasafi)
[03:23.61]🎵