🎵

Sina Nyota

Album: Sina Nyota Durasi: 3:32
[00:10.38]Mwenyewe anaona sawa
[00:11.74]Ila mwambie mimi ananiumiza sana
[00:14.98]Ni zaidi ya kupagawa
[00:16.32]Siponi ugonjwa na nishamaliza dawa
[00:22.05]Aaaaah, aaahh
[00:25.45]🎵
[00:28.56]Na ajue bado nipo
[00:30.51]Ila hali yangu hohehahe sina mabadiliko
[00:38.85]Machozi mafuriko
[00:40.55]Fundi wa jiko langu kaacha mawe
[00:43.43]Mpaka akalamba mwiko
[00:48.38]Toka alivyoniacha
[00:49.94]Sina nyota wala mwezi
[00:53.19]Mwenzake nimekamatwa
[00:55.02]Na homa ya mapenzi
[00:57.64]Toka alivyoniacha
[00:59.58]Sina nyota wala mwezi
[01:02.55]Mwenzake nimekamatwa
[01:04.33]Na homa ya mapenzi
[01:07.33]Mwili wote peteka
[01:08.18]Sina afadhali mawazo yanitesa
[01:12.15]Mavodabodeka ni ka misumari
[01:14.56]Naanza dhoofika
[01:17.27]Mwili wote peteka
[01:18.62]Sina afadhali mawazo yanitesa
[01:21.81]Mavodabodeka ni ka misumari
[01:24.61]Naanza dhoofika
[01:27.35]🎵
[01:36.44]Bado ndo ndo ndo chururu
[01:38.26]Nikijaza hakijai kibaba
[01:40.92]Na misongo songo msururu
[01:43.12]Sita haikai saba
[01:45.53]Mimi kitorondo we kunguru
[01:47.91]Mbao zangu hazimpi msaada
[01:50.47]Makombe nishaoga dawa ka susuru
[01:52.52]Huenda akasahau labda
[01:56.03]Kitandani mito ipo miwili
[01:58.23]Ubavu wewe ubavu mimi
[02:00.68]Pakata ndiko imewekwa shubiri
[02:03.05]Nalikwepa nalala chini
[02:05.49]Nimefuta picha
[02:07.34]Tulizopiga chumbani
[02:10.09]Ila bado zanisuta suta
[02:11.98]Zimebaki kichwani
[02:15.18]Silali nashtuka shtuka
[02:17.38]Unaniita kizani
[02:19.41]Chozi la niwesha shuka
[02:21.53]Na sina wa kunifuta nani
[02:24.27]Toka alivyoniacha
[02:26.46]Sina nyota wala mwezi
[02:29.36]Mwenzake nimekamatwa
[02:31.51]Na homa ya mapenzi
[02:34.24]Toka alivyoniacha
[02:36.12]Sina nyota wala mwezi
[02:39.07]Mwenzake nimekamatwa
[02:41.22]Na homa ya mapenzi
[02:43.45]Mwili wote peteka
[02:45.08]Sina afadhali mawazo yanitesa
[02:48.53]Mavodabodeka ni ka misumari
[02:50.99]Naanza dhoofika
[02:53.15]Mwili wote peteka
[02:54.76]Sina afadhali mawazo yanitesa
[02:57.91]Mavodabodeka ni ka misumari
[03:00.38]Naanza dhoofika
[03:12.77]Toka alivyoniacha
[03:14.99]Sina nyota wala mwezi
[03:17.31]Mwenzake nimekamatwa
[03:19.50]Na homa ya mapenzi
[03:22.12]Toka alivyoniacha
[03:24.09]Sina nyota wala mwezi
[03:27.06]Mwenzake nimekamatwa
[03:29.12]Na homa ya mapenzi
[03:31.03](Wasafi)
[03:31.65]🎵