🎵

Sitamuacha

Album: Sitamuacha (Live) Durasi: 12:57

Nilie mtambua, Hakuna kitatutenganisha

Hakuna Atakae ninyang'anya taji langu

Ayeeee, nimemshika Sitamuacha

Mtini usipo chanua, mizabibu isitoe matunda

Bado nitamfurahia wamilele bwana wangu

Haya yanitia moyo, Ni mchungaji wa upendo

Aliacha tisini na tisa, kaja kutafuta mmoja

Amenibadilishia huzuni, akanipa furaha ya kweli

Bahati gani niliyo nayo, kuwa mrithi na Kristo

Kipi kitanitenga na upendo wake

Maafa na majanga oh Hayawezi

Ya Leo na yajayo nayo hayawezi

Ayeee nimemshika sitamuacha

Nimemuona usiku na mchana

Mkono wake umenitendea

Kila mlima aliusambaza