🎵
[00:09.22]Wasafi Records...
[00:09.47]Ooh Kasuku mwenye sauti nyororo
[00:14.16]Mususu ya soro ndombolo
[00:18.64]Na bando letu la buku twapeluzi mpaka tomorrow
[00:23.76]Mambo iko huku penzi twalila kwa solo
[00:29.51]Hmmm
[00:30.96]Anipelekesha msobe msobe Kama fuso lapanda mlima
[00:39.18]Na nilivyo fundi kuchelewesha Kobe kobe
[00:44.96]Simpi dusko nzima nzima (aah)
[00:49.15]Mukoroge sumu mnywe wenye vijiba vya roho
[00:53.83]Yata watoka mapunye muumwe kwashakoo
[00:58.64]Tena wavimbe na wanune ishakua yako
[01:03.30]Itafune imung'unye ifike kunako
[01:07.48]ooh baby Kushika kiuno (tamu)
[01:10.14]Niku chumu chumu (tamu)
[01:12.59]Niki kukumbatiaa (tamu)
[01:15.73]Tamu kolea
[01:17.18]Penzi letu baby (Tamu)
[01:19.82]Yani mpaka kisogoni (tamu)
[01:22.26]Torororoo (tamu)
[01:25.45]Tamu kolea
[01:26.66]Baby tufanye wazi wazi watuone
[01:31.42]Picha weka DP na makopa kopa caption
[01:36.15]Baby walokosa kazi wanong'one
[01:40.93]Wapandishe BP Wapumue kwa oxygen
[01:45.92]Waambie vimberu mberu Sio penzi la mashaka
[01:50.64]Tusha soma dua kusitirika kwa wenye macho ya paka
[01:55.40]Wambiee Mimi beberu sio jogo la pasaka
[02:00.20]Wanajizugua kukunja ndita watazeeka haraka
[02:05.31]Steel wire ananisugua (Kwa makovu kovu)
[02:09.93]Hanaga mbaya laazizi (show mbovu mbovu)
[02:14.63]Tena fundi mwaya Kazi anaijua (My love love)
[02:19.40]Haijawahi kupwaya yani kidhi
[02:25.18]Mukoroge sumu munywe wenye vijiba vya roho
[02:30.17]Yata wa toka mapunye Mumwe kwashakoo
[02:34.65]Tena wavimbe na wanune ishakua yakoo
[02:39.40]Itafune imung'unye ifike kunako
[02:43.43]Ooh baby kikushika kiuno (tamu)
[02:46.44]Niku chumu chumu (tamu)
[02:48.96]Niki kukumbatiaa (tamu)
[02:51.29]Tamu kolea
[02:53.38]Penzi letu baby (tamu)
[02:55.90]Yani mpaka kisogoni (Tamu)
[02:58.39]Torororoo (tamu)
[03:00.86]Tamu kolea
[03:04.44]🎵
[03:10.64]Ebo baby mtoto kakua (kasima dede)
[03:14.29]Nimtazame (Kasimama dede)
[03:16.59]Mwana anatembea (Kasimama dede)
[03:19.83]Yani tee tee Anataka aking'ate (Kasimama dede)
[03:23.40]Kaona kitumbua (Kasimama dede)
[03:26.16]Amekua baba (kasimama dede)
[03:29.59]Yani tee tee tee
[03:32.17]🎵