🎵

Tena

Album: Room Number 3 Durasi: 3:17

Jasho lilinitoka mwenzenu

Aaa-ta kwenye AC

Yule niliesema shemeji yenu

Alinipandisha BP

Nguu-umi mkononi,Kuvaana maungoni

Mimi sijazoea

Yanamtoka mdomoni,Na kosa silioni

Mwenzangu ananifokea,Oh no-no

Kwake mi' kurudi tena

Hilo haliwezekani

Mimi kumpenda tena

Si bora tu nifuge Nyani

Kwake mi' kurudi tena-ah

Hilo haliwezekani

Mimi kumpenda tena

Si bora tu nifuge Nyani

Kwake mi' kurudi tena(Ah-ah)

Hilo haliwezekani

Mimi kumpenda tena

Si bora tu nifuge Nyani

Mambo ya kulilia mapee-nzi

Ni miaka ya tisini kushuka chini

Watoto wa elfu mbili hawawezi hayo mambo

Hilo uweke akilini

Nguu-umi mkononi,kuvaana maungoni

Mimi,sijazoea

Yanamtoka mdomoni,Na kosa silioni

Mwenzangu ananifokea,Oh no-no

Kwake mi' kurudi tena

Hilo haliwezekani

Mimi kumpenda tena

Si bora tu nifuge Nyani

Kwake mi' kurudi tena

Hilo haliwezekani

Mimi kumpenda tena

Si bora tu nifuge nyani

Kwake mi' kurudi tena(Aaaah!)

Hilo haliwezekani(haiwezekani)

Mimi kumpenda tena,Ah

Si bora tu nifuge nyani(siwezii)

Kwake mi' kurudi tena,Ah

Hilo haliwezekani(Hio ni dhambi)

Mimi kumpenda tena(kumpa moyo wangu)

Si bora tu nifuge nyani(Haramu)