🎵

Tumia Kichwa

Album: Tumia Kichwa Durasi: 2:44

Niko magodede nacheki tuh mawetete fantasty kwa kichwa, ni jaba t uh na kasekete

Ka rada ni chafu safisha piga makelele

Hakuna kulalisha lazima tupige sherehe

Ah tuko mawhat na mawar china

Ka ni mistari na ni kali cheki boss nina

Manzi anaringa sana na venye anaforce figure

Na nina sura fisa san ahata kumshinda

Tumeomoka Tobacco sai tunaisunda kwa pochi

Pesa ka si mingi hazisundwagi kwa pochi

Nilichange gari wakilalanga kwa kochi

Ulisoma udaktaki sai ati unaitwa soshi

Na mguu ikikikataa lewa, tumia kichwa,tumia kichwa

Tumia kichwa, tumia kichwa, tumia kichwa

Bro ujui kudance aje, tumia kichwa

Na mguu ikikataa lewa, tumia kichwa, tumia kichwa

Tumia kichwa, tumia kichwa, tumia kichwa

Bro ujui kudance aje, tumia kichwa

After kissing foreplay tunatumia kichwa

Ginyo ratata chomoa riswa

Thumbnail chezea chezea ni ka ni guitar

Anakuita kwake mwenye rent anajileta

Nguvu za budesco tunaita mbichwa

Uko na umama tunakuita kinuthia

Hiyo si designer hiyo tommy sifa

Bro huniboo nakushow unanisinya

Chomoa kichwa tingisha kichwa

Tema saliva sasa angusha kichwa

Chomoa kichwa tingisha kichwa

Tema saliva sasa angusha kichwa

Na mguu ikikikataa lewa, tumia kichwa,tumia kichwa

Tumia kichwa, tumia kichwa, tumia kichwa

Bro ujui kudance aje, tumia kichwa

Na mguu ikikataa lewa, tumia kichwa, tumia kichwa

Tumia kichwa, tumia kichwa, tumia kichwa

Bro ujui kudance aje, tumia kichwa

Huboeka ati eka nguvu ukitafuta doh tumia kichwa

Wasomi ndio wamekosa majob uzia mzinga

Tulia mziza eeh kujia mrista

Cv kama haileti kakitu kujia mtita

Mguu ikikataa tunacheza na mwongo

Songa na tempo aaah dunda kudonjo

Mamio mio mio stua kidogo

Na ikibamba sana unaguza kisogo

Kiwadada kivelo na kinjataba

Machingri zimekanashi mashola zimegwantana

Rhumba zimejaza stakabadhi na mapantaja

Ni nani mwingine badder dan

Doba nazi masacre trio mio

Na mguu ikikikataa lewa, tumia kichwa,tumia kichwa

Tumia kichwa, tumia kichwa, tumia kichwa

Bro ujui kudance aje, tumia kichwa

Na mguu ikikataa lewa, tumia kichwa, tumia kichwa

Tumia kichwa, tumia kichwa, tumia kichwa

Bro ajui kudance aje tumia kichwa