🎵

Wenge

Album: Wenge Durasi: 2:35
[00:09.13]Ua la moyo limeshachelewa
[00:18.84]Furaha yangu wewe na unajua
[00:28.64]Ninapokupenda wee
[00:32.81]Kama roho yangu
[00:37.36]Popote nitapokwenda
[00:44.98]Uwe pembeni yangu
[00:47.26]Nitapunguza wenge wenge
[00:49.69]Mmmh wenge wenge
[00:50.47]Aah wenge wenge
[00:54.05]Mmmh wenge!
[00:55.88]Nitapunguza wenge wenge
[00:58.64]Mmmh wenge wenge
[01:01.42]Aah wenge wenge
[01:04.12]Mmmh wenge, nitapunguza
[01:08.48]Najua we hupendi wakituona
[01:22.37]Twapatapo raha
[01:27.24]Nasi twaendana na wanaona
[01:32.16]Tunapendana sana
[01:35.75]Ninapokupenda wee
[01:43.94]Kama roho yangu
[01:46.20]Popote nitapokwenda
[01:49.66]Uwe pembeni yangu
[01:53.71]Nitapunguza wenge wenge
[01:56.67]Mmmh wenge wenge
[01:58.73]Aah wenge wenge
[01:59.98]Mmmh wenge!
[02:03.31]Nitapunguza wenge wenge
[02:06.54]Mmmh wenge wenge
[02:08.92]Aah wenge wenge
[02:10.91]Mmmh wenge! Nitapunguza
[02:15.47]Kama nyota na mwezi
[02:20.06]Tunaridhi penzi letu
[02:27.46](Ka Mix Lizer)
[02:34.11]🎵