🎵
[00:30.03](Ayo, Lizer)
[00:36.47]Nimesadiki ya wahenga
[00:38.80]Penzi lina raha yake
[00:40.48]Mzigo kwa tenga
[00:43.28]Kimfaacho mtu chake
[00:45.32]Denge nimekatwa ngenga
[00:46.98]Ah, umate mate najinyenga nyenga
[00:50.31]Mao mao, mao Tate
[00:55.45]Huwaga sioni
[00:57.04]Ninavyoipanda milima
[00:58.96]Ulimi sikioni
[01:01.08]Mwili wote wanizizima
[01:04.47]Mwenzenu sioni
[01:07.25]Macho mawili yote sina
[01:09.27]Tunaanza jikoni
[01:10.98]Mpaka varandani twalindima, yalah
[01:12.48]Yalah yalah
[01:16.34]Yalah yalah (ooh)
[01:19.13]Yalah yalah
[01:21.39]Yalah, yalah
[01:23.87]Penzi limenizidia (yalah yalah)
[01:25.03]Ni kubwa (yalah yalah)
[01:26.57]Nzito (yalah yalah, yalah, yalah)
[01:29.12]Tungezaliwa zamani
[01:43.46]Ningesema penzi togwa
[01:46.51]Tulinywe kibarazani
[01:49.47]Tukitafuna maboga
[01:52.23]Nimekipanda uani
[01:54.27]Kibustani cha uyoga
[01:56.87]Tukishiba biryani
[01:59.31]Baby, tule mboga mboga
[02:01.50]Sasa polisi wa nini?
[02:04.23]Nikikosa nikamate wewe
[02:06.32]Mahakama ya nini?
[02:08.38]Nikikosa nihukumu wewe
[02:11.43]Penzi chupa la balindi
[02:14.33]Tuligide baby hadi tulewe
[02:15.94]Vindege shorwe vya nini?
[02:18.53]Kifaranga unibebe weh mwewe
[02:20.50]Huwaga sioni
[02:23.50]Ninavyoipanda milima
[02:25.90]Ulimi sikioni
[02:28.07]Mwili wote wanizizima
[02:30.86]Mwenzenu sioni
[02:33.53]Macho mawili yote sina
[02:36.34]Tunaanza jikoni
[02:38.94]Mpaka varandani twalindima, yalah
[02:40.93]Yalah yalah (yalah yalah)
[02:43.98]Yalah yalah (yalah yalah)
[02:45.58]Yalah yalah (yalah yalah)
[02:46.60]Yalah, yalah
[02:49.95]Penzi limenizidia (yalah yalah)
[02:51.80]Ni kubwa (yalah yalah)
[02:53.28]Nzito (yalah yalah, yalah, yalah)
[02:55.86]🎵